SAID MTAJI ASKARI
HALMASHAURI YA WILAYA KATI-ZANZIBAR
Kitengo cha Uhasibu ni moja kati ya vitengo vilivyopo katika Halmahauri ya Wilaya ya Kati Ambapo kitengo hichi kipo chini MKURUGENZI MTENDAJI Kwa upande wa TEHAMA tunawajibika katika kutoa huduma za Ki TEHAMA katika ofisi ya Halmahauri ya Wilaya ya Kati, pamoja na Ofisi nyenginezo zilizopo Ndani ya Wilaya ya Kati. Kitengo cha Tehama ni moja kati ya kitengo Muhimu katika Ofisi hii ni kutokana na Dunia ya sasa kuchukua sehemu kubwa ya Teknolojia na kusababisha kuchochea Maendeleo kwa kasi na kupekea kutoa ufanisi wa kazi katika Ofisi.>
Miongoni mwa Huduma za kitehama tunazozitoa ni pamoja na Kuisaidia Ofisi kwa kutumia Tehama(Teknolojia Habari na Mawasiliano)katika kufikia Malengo na Dhamira yake na pia kutoa ushirikiano pindi tatizo linapotokea linalohusiana na masuala ya kitehama. Mfano kuharibika kwa kompyuta na vifaa vyenginevyo vinavyotumika katika sehemu ya teknologia Habari na Mawasiliano.
Kuitumia Tratibu za Ki Uhasibu na Mahesabu ilikuweza kuendana na kasi ya mabadiliko ya Kidunia katika sehemu ya matumizi ya Teknologia Habari na Mawasiliano ambapo Teknolojia kwa sasa ndio imechukua sehemu kubwa katika Dunia Taasisi nyingi ikiwemo Halmashauri ya Wilaya ya Wilaya ya Kati.
Kuiwezesha ofisi katika kufikia Malengo yake kupitia sheria zilizwa anzishwa na kuiwezesha Ofisi iweze kufanya kazi nje ya Mipaka yake ya (ARDHI)na kuweza kutambulika ki Dunia pamoja na Kuitangaza
Kitengo cha Uhasibu kimefanikiwa kwa kiasi kikubwa ambapo kupitia DIRA na DHAMIRA yake kiliojiekea imeplekea Ofisi kuitegemea (TEHAMA) Teknolijia Habari na Mawasiliano katika masuala kazi kwa ujumla Ili kuweza kutoa huduma iliobora kwa jamii ya Wilayaya kati na nje ya Wilaya ya kati.