Magofu na Mapango ni sehemu ya Tunu zinazopatikana ndani ya Wilaya ya kati-Zanzibar.
Mapango na Magofu ni Sehemu ya Tunu ambazo zimo ndani ya wilaya ya kati Ambapo mapango na Magofu haya yamekua na historia Mbali mbali ikiwemo kutambulika kama ni historia ya Nchi ya Zanzibar Magofu na Mapango haya historia yake kwa ufupi ni: Magofu na Mapango mingi yalio Ndani ya wilaya ya kati yalitumika kama ndio sehemu ya Viongozi au Watawala walipita kabla ya Mapinduzi ya serekali ya Zanzibar na Baada ya Mapinduzi kufanyika Magofu hayo yalitumiwa na Vionguzi hao kwa shughuli mabali mbali ikiwemo pia kua ndio kama makazi yao waliokua wakiishi. Maeneo yenye Magofu na Mapango ni kama yafuatayo:-
- Nyumba ya Britsh consulate