HAKIKA M .MOH
MKURUGENZI MSAIDIZI WA MTAMBUKA
Idara ya Masuala Mtambuka ni moja kati ya Idara Sita katika Muundo Mpya wa Mamlaka za Serikali za Mitaa ulioanza rasmi Julai 2019. Idara hii inashughulikia Masuala Mtambuka ambayo yanajumuisha Matukio ya Maafa, Maradhi, Mabadiliko ya Tabianchi, Jumuiya au Asasi za Kiraia (NGO’s), Usawa wa kijinsia, Madawa ya kulevya, Watu wenye Mahitaji maalum pamoja na wanaoishi katika Mazingira magumu.
Kuwa Idara imara yenye Uwezo na uwajibikaji itakayotoa huduma kwa ufanisi na Tija kwa Jamii kwa Mujibu wa Sheria.
Kutoa huduma bora kwa Wakati kwa kuzingatia Matumizi bora ya Ufanisi yaRrasilimali zinazo patikana.
Kwamujibu wa Sera ya Serikali za Mitaa Zanzibar ilioandaliwa na Afisi ya Rais Tawala za Mikoa na Idara Maalum za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar ya Mwaka 2014 Majukumu ya Idara ya Masuala Mtambuka ni kama yafuatayo:
Idara ya Uendeshaji Mipango na Fedha Imefanikiwa kwa kiasi kikubwa katika Baada ya kusimamia Dira yake na Kusimamia Dhamira yake