SAID H.SHAABAN

MWENYEKITI WA BARAZA LA MJI KATI

UTALII WILAYA YA KATI

Utalii ni kitendo cha kusafiri kutoka sehemu moja kwenda sehemu nyengine kwa lengo la burudani,biashara kujifunza au maksudio Mengine. Utalii huweza na kupelekea kukuza uchumi wa nchi endapo nchi itapokea Fedha za kigeni na za Ndani kutoka kwa watalii Ambao wataweza kufanya utalii katika Maeneo yetu.

Kupitia Vivutio na Tunu zilizopo Ndani ya Wilaya ya kati inapelekea kuengezeka kwa watalii kila Mwaka Ambapo kupitia utalii inatoa Fursa kwa Watalii wote wanaotalii Kujua Maeneo ya Historia ya Nchi yetu ya Zanzibar Ambapo ndio Tunu yetu na pia kujifunza na kuisoma historia kwa kuona maeneo husika ya kihistoria yaliopo Ndani ya wilaya ya kati-Zanzibar

HISTORIA FUPI NA FURSA ZILIZOPO KATIKA SHEHIA YA MACHUI WILAYA YA KATI


TAMASHA LA MBIO ZA BASKELI LINALOFANYIKA KILA MWAKA MKOA WA KUSINI UNGUJA



HIFADHI YA MSITU ULIOPO SHEHIA YA DUNGA NDANI YA WILAYA YA KATI
UTALII WA NDANI

Hii ni Hifadhi ya MSITU Mkubwa uliopo katika shehia ya Dunga Ambapo Ardhi imehifadhiwa kwa sasa kwaa ajili ya Matumizi ya baadae ikiwemo Uwekezaji