Dira yetu

Kuwa Taasisi ilobora katika kutoa huduma zilizo bora kwa wananchi na kuleta maendeleo ndani ya Wilaya ya Kati



Dhamira yetu

Kuifanya Wilaya ya Kati ilio bora na yenye kuvutia na Mazingira yakipekee yatakayoweza kupelekea kujuulikana ulimwengu mzima.