MISITU NA MAWE
TUNU ZETU
Tunajivunia katika Nchi yetu ya Zanzibar kua Aina mbali mbali za Misitu Ukiwemo Msitu mkubwa wa Hifadhi Ambapo Misitu hio inatumika zaid kitalii kutokana na Viumbe Hai vinavyoishi katika Msitu huo/Misitu hiyo
Viumbe hai hawao waishio katika Msitu kama vile wa Jozani ni kama Vile Aina ya Kima waitwao Kima Punju,Kobe n.k
MCHANGANUO WA SHEHIA ZENYE AINA MBALI MBALI ZA MISITU NDANI YA WILAYA YA KATI
Ndani ya wilaya ya kati Kuna aina ya tofauti ya Misitu kama vile :-
MISITU YA MIKOKO
MISITU YA HIFADHI
MISITU ISIYOKUA YA HIFADHI
SHEHIA ZENY MISITU YA MIKOKO
- BUNGI
- CHARAWE
- UKONGORONI
- CHWAKA
SHEHIA ZENYE MISITU ISIYOYAHIFADHI
- CHWAKA- MSITU WA KIJUNDU
- UZI
- GHANA
- MARUMBI
SHEHIA ZENYE MISITU YA HIFADHI
- CHWAKA -UFUFMO
- CHEJU
- DUNGA KIEMBENI
MCHANGANI
- PETE(SEHEMU YA JOZANI)
- MARUMBI