MWENYEKITI HALMASHAURI YA WILAYA KATI-ZANZIBAR

Somoe said

HALMASHAURI YA WILAYA KATI-ZANZIBAR

HABARI ZA ELIMU
VIDIO
Miaka 10 ya Mhe:Dr ALI mohammed Shein MKUU WA WILAYA YA KATI BI:HAMIDA MUSA KHAMIS akielezea Jinsi ilivojipanga jisi ya kukabiliana na Korona

MUUNDO WA IDARA YA ELIMU MSINGI NA MAANDALIZI



IDARA YA ELIMU MSINGI NA MAANDALIZI

Idara ya Elimu ni Moja kati ya idara 6 zilizopo ndani ya halmashauri ya wilaya ya kati, Idara hii Ndio Kuu inayohusika na shughuli za utawala wa ndani Afisi Mipango ya Afisi Pamoja na Usimamizi w Fedha kwa Ujumla.

Dira

Kuikuza Afisi na kutoa huduma ilio bora kwa jamii kupitia Makusanyo ya mapato pamoja na kuaandaa Mipango iliothabiti na kusimamia Fedha katika ukusanyaji wa Mapato na Matumizi ya Fedha.

Dhamira

Kuiwezesha Afisi katika kufikia Malengo yake pamja na Dhamira yake kwa ujumla kupeleka Maendeleo na Kutoa Huduma ilio bora ndani ya Wilaya ya Kati Zanzibar

Mafanikio

Idara ya Uendeshaji Mipango na Fedha Imefanikiwa kwa kiasi kikubwa katika Baada ya kusimamia Dira yake na Kusimamia Dhamira yake

MAJUKUMU

  • Kusimamaia shughuli za kiofisi
  • kusimamia wafanyakazi wa Afisi kwa ujumla wake
  • Kuandaa na kusimamia Mipango ya Afisi
  • Kusimamia Matumizi ya Fedha