MWENYEKITI HALMASHAURI YA WILAYA KATI-ZANZIBAR

SAID MTAJI ASKARI

HALMASHAURI YA WILAYA KATI-ZANZIBAR

MIRADI INAYOENDELEA

ofisi ya Halmashauri ya wilaya ya kati imejipanga na Kudhamiria kutekeleza miradi mbali mbali ya Ndani ya wilaya ya kati Miradi hiyo ikiwa inawagusa Wanachi na hasa wana Jamii ya wilaya kati.

Mradi wa Barabara za ndani katika shehia ya jumbi jia la skuli ya Jumbi