MNAMO TAREHE 13/10/2020 OFISI YA HALMASHAURI YA WILAYA YA KATI IMEKABIDHIWA CHETI RASMI CHA UTAMBULISHO WA KUPANDA HADHIKUTOKA HALMASHAURI YA WILAYA YA KATI NA KUWA BARAZA LA MJI KATI.
BMK
KUMBUKUMBU YA PICHA YA PAMOJA BAADA YA KIKAO CHA KWANZA KUMALIZIKA CHA BARAZA LA 5 LA MADIWANI KILICHOZINDULIWA NA MGENI RASMI MKUU WA MKOA MHE:RASHID T.KH
BMK
MHE:RAIS WA ZAZNZIBAR DR HUSSEIN ALI HASSAN MWINYI AKIKAGUA MRADI WA KUSARIFU TAKA (SOLIDWASTE AND SAUDGE MANAGMENT FOR ZAZNIBAR URBAN MUNICIPAL)ULIO CHINI YA ZUSP NDANI YA SHEHIA YA KIBELE WILAYA YA KATI.
BMK
PICHA YA PAMOJA YA VIONGOZI WA JUU WA OFISI YA BARAZA LA MJI KATI AKIWEMO MHE:MWENYEKITI WA BARAZA LA MJI KATI SAID M.KH,KUSHOTO KWAKE AKIWA NA MKURUGENZI WA BARAZA LA MJI KATI MOHAMED SALUM MOHAMED NA KULIA KWAKE NI NAIBU MWENYEKITI USSI .A.MTUMWA
BMK
KUMBUKUMBU YA PICHA YA PAMOJA YA MADIWANI AKIWEMO MHE:MWENYEKITI SAID.H.SHAABAN PAMOJA NA MADIWANI WALIOPO CHINI YA OFISI YA BARAZA LA MJI KATI
BMK
Kumbukumbu ya picha ya pamoja ya Uzinduzi wa kituo cha Redio jamii iliyopo Shehia ya Binguni Wilaya ya kati Mkoa wa Kusini-Unguja(Zanzbar)Redio hiyo Imezinduliwa na Makamo wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mhe:Samia Suluhu Hasan
BMK
MHE:WAZIRI WA NCHI OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA IDARA MAALUM ZA SMZ MASOUD ALI MOHAMMED AKIWA KATIKA ZIARA YAKE YA NDANI YA WILAYA YA KATI AKIWA KATIKA OFISI YA MKUU WA WILAYA,AKIAMBATANA NA MKUU WA WILAYA MHE:HAMIDA MUSSA KHAMIS
PAMOJA NA MKUU WA MKOA WA KSINI MHE:AYOUB MOHAMMED MAHMOUD
BMK
MKURUGENZI MTENDAJI WA BARAZA LA MJI KATI MOHAMED SALUM MOHAMED AKITOWA MAELEZO NA UFAFANUZI KWA MHE:WAZIRI WA NCHI OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA NA IDARA MAALUM ZA SMZ KUHUSU AFISI ZIKIWEMO NA MALI ZA OFISI
BMK
SHEREHE ZA KUPOKEA MWENGE KWA UKAGUZI WA MIRADI YA MAAENDELEO
BMK
KUMBUKUMBU YA PICHA BAADA YA KIKAO CHA IDARA YA ELIMU KIKIONGOZWA NA MK/MSAIDIZI ELIMU NA MAAFISA WA IDARA YA ELIMU NA WALIMU WAKUU
BMK
Ziara ya Mh:Mkurugenzi Mtendaji Ndani ya Wilaya ya Kati
BMK
MHE:MKURUGENZI MTENDAJI BARAZA LA MJI KATI AKIWA KATIKA MUENDELEZO WAKE WA KAWAIDA NA UTARATIBU ALIOUWANZISHA KUDUMISHA USAFI NDANI YA WILAYA YA KATI SAMBA SAMBA NA HILO KUZIDI
KULITILIA NGUVU ZOEZI HILI KUTOKANA NA KAULI YA SEREKALI JUU YA KUDUMISHA MIJI YETU KUWA SAFI
BMK
AFISI YA BARAZA LA MJI KATI-ZANZIBAR
BARAZA LA MADIWANI HALMASHAURI YA WILAYA YA KATI-ZANZIBAR 2015-2020