MAKAME KITWANA MAKAME
MKURUGENZI MSAIDIZI KILIMO UVUVI NA MALI ASILI
Idara ya Kilimo ufugaji na Uvuvi ni Moja kati ya idara 6 zilizopo ndani ya halmashauri ya wilaya ya kati, Idara hii Ndio Kuu inayohusika na shughuli za utawala wa ndani Afisi Mipango ya Afisi Pamoja na Usimamizi w Fedha kwa Ujumla.
Kuikuza Afisi na kutoa huduma ilio bora kwa jamii kupitia Makusanyo ya mapato pamoja na kuaandaa Mipango iliothabiti na kusimamia Fedha katika ukusanyaji wa Mapato na Matumizi ya Fedha.
Kuiwezesha Afisi katika kufikia Malengo yake pamja na Dhamira yake kwa ujumla kupeleka Maendeleo na Kutoa Huduma ilio bora ndani ya Wilaya ya Kati Zanzibar
Idara ya Uendeshaji Mipango na Fedha Imefanikiwa kwa kiasi kikubwa katika Baada ya kusimamia Dira yake na Kusimamia Dhamira yake