SAID H.SHAABAN

MWENYEKITI WA BARAZA LA MJI KATI

SALUM MOHAMED ABUBAKAR

MKURUGENZI MTENDAJI




TANGAZO MAALUMU OFISI YA BARAZA LA MJI KATI LINAWATANGAZIA WANCHI WOTE WA WILAYA YA KATI KUA SIKU YA JUMANNE TAREHE 18/05/2021 MNAMO SAA 1 ASUBUHI KUTAKUA NA MAADHIMISH0 YA MWENGE WA UHURU TAIFA SHIME WANANCHI WOTE KUHUDHURIA.

KARIBU KATIKA TOVOTI YETU BARAZA LA MJI KATI YA WILAYA YA KATI-ZANZIBAR

Baraza la Mji Kati(BMK) ni moja kati ya Serekali za Mitaa 11 zilizoanzishwa kutokana na sheria za Serikali za mitaa ya namba 7 ya 2014.Baraza la Mji kati imo ndani ya mkoa wa kusini na imepakana na Wilaya ya kaskazini (B),wilaya ya kusini,wilaya ya maghrib (A) na bahari ya hindi kwa upande wa mashariki. Wilaya ya kati ina ukubwa wa kilomita za mraba 427.78 na ina idadi ya watu 76,346 kwa mujibu wa sensa ya mwaka 2012,ambapo uchumi wake unachangiwa zaid na shughuli za kilimo,uvuvi pamoja na shughuli nyenginezo za kiuchumi....Soma Zaid

MNAMO TAREHE 13/10/2020 OFISI YA HALMASHAURI YA WILAYA YA KATI IMEKABIDHIWA CHETI RASMI CHA UTAMBULISHO WA OFISI KUA BARAZA LA MJI KATI.


Kumbukumbu ya Picha ya Pamoja ya viongozi wa Mkoa,Wilaya Pamoja na iliokua Ofisi ya Halmashauri ya wilaya ya kati na Sasa Kua Baraza la Mji Kati,

Ofisi ya Baraza la mji kati imefanikiwa kutimiza vigezo vyote vya kupanda Hadhi vilivyowekwa kwa ajili ya mamlaka ya serekali za mitaa na kuweza naa kuweza kupata utambulisho rasmi wa kuitwa Baraza la Mji kati kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Kati

SIKU YA KUMBUKUMBU YA SHEREHE YA KUAPISHWA KWA RAIS WA ZANZIBAR NA MWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI WA AWAMU YA 8 Mhe.DR HUSSEIN ALI HASSAN MWINYI.



Mhe.DR Hussein Ali Hassan Mwinyi akiwa anakamilisha kiapo chake cha Nafasi ya Urais wa Zanzibar na kuapishwa na Mhe:Jaji Mkuu wa Zanzibar Hamid Mahmoud Hamid Kikishuhudiwa na Katibu mkuu kiongozi wa Baraza la Mapinduzi-Zanzibar Mhe Abdul-Hamid Yahya Mzee,pamoja na kushuhudiwa na viongozi mbali mbali wa Nchini Tanzanzia,wageni kutoka Nchi za kimataifa pamoja na Malaki ya Wananchi wa Zanzibar

MATANGAZO
RAMANI YA ENEO LA WILAYA YA Kati-ZANZIBAR

Ramani ya Wilaya ya Kati

MKURUGENZI MTENDAJI MOHAMED SALUM MOHAMED Akielezea Miaka 10 ya Rais wa Zanzibar Dr Ali Mohammed Shein

HUDUMA ZA NDANI YA WILAYA YA KATI-ZANZIBAR