MITO MAZIWA MICHIRIZI NA MADIMBWI



TUNU ZETU

Mito,Maziwa,Michirizi na Madibwi ni Miongoni mwa Tunu zinazopatikana ndani ya Wilaya ya kati-Zanzibar.

MCHANGANUO WA SHEHIA ZENYE KUPATIKANWA KWA MITO,MAZIWA,MADIBWI NA MADIBWI

Wilaya ya kati inajivunia kua na Aina ya Tunu za aina ya (Mito,Maziwa,Michirizi ya Maji isokauka Pamoja na Madibwi yasiokauka) hii ni kutokana na aina ya tunu hizi kua Maalum na zenye kua tofauti na aina nyengine za tunu nyenginginezo zenye kufanana na Aina kama hizi zilizopo ndani ya Wilaya ya kati.



    TUNU YA MITO NDANI YA WILAYA YA KATI

    Moja kati ya Tunu zilizopo ni pamoja na Mito Wilaya ya kati imejaaliwa kua na Aina tofauti ya Mito,Ambapo mito hio imekua ni sehemu ya matumizi mbali mbali kupitia mto huo. Maeneo yenye kupatikana Mito hayo ni kama yafyatayo:-

    SHEHIA ZENYE MITO
  • MACHUI – mto wa kiteteani
  • KOANI – MTO MWERA


  • TUNU YA MAZIWA NDANI YA WILAYA YA KATI

    Tunu ya Maziwa ni Moja kati ya Tunu zilizopo ndani ya Wilaya ya kati Ambapo maziwa haya yamekua ni maziwa Maalum hii ni kutokana na kuwa na aina ya samaki Aina gurams na aina ya samaki wengine wenye kupatikanakatika maziwwa hayo tu Maeneo yenye kupatikana Maziwa hayo ni kama yafuatayo. Maeneo yenye kupatikana Mito hiyo ni kama yafyatayo:-

    SHEHIA ZENYE MAZIWA
  • MCHANGANI – Ziwa kipanga magogo(halikauki)
  • KOAN – Ziwa la kwa Mmanga chatu


  • TUNU YA MABWAWA NDANI YA WILAYA YA KATI

    Wilaya ya kati ina Shehia 42 ambapo takriban shehia nyingi zina Mabwawa Ambapo mabwawa hayo yanatofautiana na ukubwa na Muda wake ya kupoteza maji yanayoyopatikana na pia mabwawa hayo hutumika kwa shuhuli mbali mbali za kijamii ikiwemo uvuvi wa samaki wa Aina YA perege,na Kambare pamoaja na Aina ya samaki wa Kufuga wanaoitwa Mix MO Maeneo yenye kupatikanwa Mabwa hayo ni:-

    SHEHIA ZENYE MABWAWA
  • MIWANI – BWAWA LA KITEMBWENI
  • PAGALI --BWAWA LA PAGALI
  • MPAPA – Mabwawa ya samaki ya kipindi cha ukoloni


  • SHEHIA ZENYE MADIBWI
  • MPAPA – Mpapa juu
  • KOANI – Minazi mikinda

    - Manyame