RAHMA SAID MAISARA

MKURUGENZI MSAIDIZI WA AFYA

HABARI ZA AFYA
VIDIO
MKURUGENZI MSAIDIZI WA AFYA BI:RAHMA SAID MAISARA AKIELEZEA MIAKA 10 YA DR.ALI MOHAMMED SHEIN KATIKA MASUALA YA AFYA NDANI YA WILAYA YA KATI

MUUNDO WA IDARA YA IDARA YA AFYA KINGA TIBA NA MAZINGIRA



IDARA YA AFYA KINGA TIBA NA MAZINGIRA

Idara ya Fya ni Moja kati ya idara 6 zilizopo ndani ya halmashauri ya wilaya ya kati, Idara hii Ndio Kuu inayohusika na shughuli za utawala wa ndani Afisi Mipango ya Afisi Pamoja na Usimamizi w Fedha kwa Ujumla.

Dira

Kuikuza Afisi na kutoa huduma ilio bora kwa jamii kupitia Makusanyo ya mapato pamoja na kuaandaa Mipango iliothabiti na kusimamia Fedha katika ukusanyaji wa Mapato na Matumizi ya Fedha.

Dhamira

Kuiwezesha Afisi katika kufikia Malengo yake pamja na Dhamira yake kwa ujumla kupeleka Maendeleo na Kutoa Huduma ilio bora ndani ya Wilaya ya Kati Zanzibar

Mafanikio

Idara ya Uendeshaji Mipango na Fedha Imefanikiwa kwa kiasi kikubwa katika Baada ya kusimamia Dira yake na Kusimamia Dhamira yake

MAJUKUMU

  • Kusimamaia shughuli za kiofisi
  • kusimamia wafanyakazi wa Afisi kwa ujumla wake
  • Kuandaa na kusimamia Mipango ya Afisi
  • Kusimamia Matumizi ya Fedha