Hifadhi ya Maeneo makubwa kwa ajili ya Ardhi nyenye Rubta pamoja na Kwa ajili ya shughuli za Ufugaji wa Nyuki
Ardhi ni rasilimali muhimu sana kwa ajili ya shughuli mbali mbali zikiwemo shugghuli za Kilimo pamoja na Maeneo yaliotengwa kwa ajili ya Ufugaji wanyama na wadudu wenye Faida kubwa kwa Binaadam wakiweo Nyuki Wilaya ya kati imebarikiwa kuwa na Ardhi kubwa ya aina mbali mbali zikiwemo Ardhi zenye Rutba nyingina zisio na Rutba nyingi pamoja na Ardhi ya Hifadhi kwa ajili ya ufugaji kama vile NYUKI na kadhalika