SAID MTAJI ASKARI
HALMASHAURI YA WILAYA KATI-ZANZIBAR
Sekta ya kilimo hii ni sekta ambayo muhimu katika uwekwezaji hii ni kutokana na uwekezaji mkubwa unaofanya na wadau mbali mbali pamoja na wananchi wa kawaida.Serekali ya Mapinduzi Zanzibar kupitia Moja kati ya Mamlaka ya serekali ya Mtaa (Halmashauri ya Wilaya ya kati Zanzibar) kumiliki Maeneo makubwa ya Ardhi yenye Rutba kwa ajili ya Kilimo
Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya kati akishiriki kwa vitendo katika shughuli za kilimo hii ni Baada kuwahamasisha wanajamii wa Wilaya ya kati katika shughuli za kilimo ili waweze kujitegemea katika kuzalisha mazao na Aina mali mbali za Vyakula ili kuweza kuepekana na Balaa la Njaa